Filter Results
Results: ( 1 to 1 of 1 )
(0.022 seconds)
#1
Hud
:88
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Akasema:
Enyi
watu
wangu!
Mwaonaje
ikiwa
ninayo
dalili
wazi
inayo
tokana
na
Mola
wangu
Mlezi,
na
ikawa
Yeye
ameniruzuku
riziki
njema
kutoka
kwake?
Wala
mimi
sipendi
kukukhalifuni
nikafanya
yale
ninayo
kukatazeni.
Sitaki
ila
kutengeneza
kiasi
ninavyo
weza.
Na
sipati
kuwezeshwa
haya
ila
na
Mwenyezi
Mungu.
Kwake
Yeye
ninategemea,
na
kwake
Yeye
naelekea.
]
[ قال يا قوم أرأيتم إن كنت على بينة من ربي ورزقني منه رزقا حسنا وما أريد أن أخالفكم إلى ما أنهاكم عنه إن أريد إلا الإصلاح ما استطعت وما توفيقي إلا بالله عليه توكلت وإليه أنيب ] — هود 88