Filter Results
Results: ( 1 to 1 of 1 )
(0.043 seconds)
#1
Fatir
:11
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Mwenyezi
Mungu
amekuumbeni
kutokana
na
udongo.
Kisha
kwa
tone
la
manii.
Kisha
akakufanyeni
mwanamume
na
mwanamke.
Na
mwanamke
yeyote
hachukui
mimba,
wala
hazai,
ila
kwa
ilimu
yake.
Na
wala
hapewi
umri
mwenye
umri
mrefu,
wala
hapunguziwi
katika
umri
wake,
ila
yamo
hayo
katika
Kitabu.
Hakika
hayo
ni
mepesi
kwa
Mwenyezi
Mungu.
]
[ والله خلقكم من تراب ثم من نطفة ثم جعلكم أزواجا وما تحمل من أنثى ولا تضع إلا بعلمه وما يعمر من معمر ولا ينقص من عمره إلا في كتاب إن ذلك على الله يسير ] — فاطر 11