Filter Results
Results: ( 1 to 1 of 1 )
(0.034 seconds)
#1
Al-FatH
:25
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hao
ndio
walio
kufuru
na
wakakuzuieni
msiingie
Msikiti
Mtakatifu,
na
wakawazuilia
dhabihu
kufika
mahala
pao.
Na
lau
si
wanaume
Waumini
na
wanawake
Waumini
msio
wajua
mkawasaga
na
mkaingia
makosani
kutokana
nao
bila
ya
kujua...
Mwenyezi
Mungu
(amefanya
haya)
ili
amuingize
amtakaye
katika
rehema
yake.
Lau
wangeli
tengana
bila
ya
shaka
tungeli
waadhibu
walio
kufuru
kwa
adhabu
chungu.
]
[ هم الذين كفروا وصدوكم عن المسجد الحرام والهدي معكوفا أن يبلغ محله ولولا رجال مؤمنون ونساء مؤمنات لم تعلموهم أن تطئوهم فتصيبكم منهم معرة بغير علم ليدخل الله في رحمته من يشاء لو تزيلوا لعذبنا الذين كفروا منهم عذابا أليما ] — الفتح 25