Filter Results
Results: ( 1 to 1 of 1 )
(0.022 seconds)
#1
An-Nur
:35
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mwenyezi
Mungu
ni
Nuru
ya
Mbingu
na
Ardhi.
Mfano
wa
Nuru
yake
ni
kama
shubaka
lenye
kuwekwa
ndani
yake
taa.
Taa
ile
imo
katika
tungi.
Tungi
lile
ni
kama
nyota
inayo
meremeta,
inayo
washwa
kwa
mafuta
yanayo
toka
katika
mti
ulio
barikiwa,
mzaituni.
Si
wa
mashariki
wala
magharibi.
Yanakaribia
mafuta
yake
kung'aa
wenyewe
ingawa
moto
haujayagusa
-
Nuru
juu
ya
Nuru.
Mwenyezi
Mungu
humwongoa
kwenye
Nuru
yake
amtakaye.
Na
Mwenyezi
Mungu
huwapigia
watu
mifano.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kujua
kila
kitu.
]
[ الله نور السماوات والأرض مثل نوره كمشكاة فيها مصباح المصباح في زجاجة الزجاجة كأنها كوكب دري يوقد من شجرة مباركة زيتونة لا شرقية ولا غربية يكاد زيتها يضيء ولو لم تمسسه نار نور على نور يهدي الله لنوره من يشاء ويضرب الله الأمثال للناس والله بكل شيء عليم ] — النور 35