Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,038 ثانية)
#1
البقرة
:275
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wale
walao
riba
hawasimami
ila
kama
anavyo
simama
aliye
zugwa
na
Shet'ani
kwa
kumgusa.
Hayo
ni
kwa
kuwa
wamesema:
Biashara
ni
kama
riba.
Lakini
Mwenyezi
Mungu
ameihalalisha
biashara
na
ameiharimisha
riba.
Basi
aliye
fikiwa
na
mawaidha
kutoka
kwa
Mola
wake
Mlezi,
kisha
akajizuia,
basi
yake
ni
yaliyo
kwisha
pita,
na
mambo
yake
yako
kwa
Mwenyezi
Mungu.
Na
wenye
kurudia
basi
hao
ndio
watu
wa
Motoni,
humo
watadumu.
]
[ الذين يأكلون الربا لا يقومون إلا كما يقوم الذي يتخبطه الشيطان من المس ذلك بأنهم قالوا إنما البيع مثل الربا وأحل الله البيع وحرم الربا فمن جاءه موعظة من ربه فانتهى فله ما سلف وأمره إلى الله ومن عاد فأولئك أصحاب النار هم فيها خالدون ] — البقرة 275