Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,038 ثانية)
#1
المائدة
:2
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msivunje
hishima
ya
alama
ya
Dini
ya
Mwenyezi
Mungu
wala
mwezi
mtakatifu,
wala
wanyama
wanao
pelekwa
Makka
kuchinjwa,
wala
vigwe
vyao,
wala
wanao
elekea
kwendea
Nyumba
Takatifu,
wakitafuta
fadhila
na
radhi
za
Mola
wao
Mlezi.
Na
mkisha
toka
Hija
yenu
basi
windeni.
Wala
kuwachukia
watu
kwa
kuwa
wali-
kuzuilieni
kufika
Msikiti
mtakatifu
kusikupelekeeni
kuwafanyia
uadui.
Na
saidianeni
katika
wema
na
uchamngu.
Wala
msisaidiane
katika
dhambi
na
uadui.
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mkali
wa
kuadhibu.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا تحلوا شعائر الله ولا الشهر الحرام ولا الهدي ولا القلائد ولا آمين البيت الحرام يبتغون فضلا من ربهم ورضوانا وإذا حللتم فاصطادوا ولا يجرمنكم شنآن قوم أن صدوكم عن المسجد الحرام أن تعتدوا وتعاونوا على البر والتقوى ولا تعاونوا على الإثم والعدوان واتقوا الله إن الله شديد العقاب ] — المائدة 2