Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,024 ثانية)
#1
البقرة
:261
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mfano
wa
wanao
tumia
mali
zao
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
ni
kama
mfano
wa
punje
moja
iliyo
chipuza
mashuke
saba.
Katika
kila
shuke
zimo
punje
mia.
Na
Mwenyezi
Mungu
humzidishia
amtakaye,
na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
wasaa
na
Mwenye
kujua.
]
[ مثل الذين ينفقون أموالهم في سبيل الله كمثل حبة أنبتت سبع سنابل في كل سنبلة مائة حبة والله يضاعف لمن يشاء والله واسع عليم ] — البقرة 261