Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,021 ثانية)
#1
البقرة
:178
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Mmepewa
ruhusa
kulipa
kisasi
katika
walio
uwawa
-
muungwana
kwa
muungwana,
na
mtumwa
kwa
mtumwa,
na
mwanamke
kwa
mwanamke.
Na
anaye
samehewa
na
ndugu
yake
chochote
basi
ashikwe
kulipa
kwa
wema,
na
yeye
alipe
kwa
ihsani.
Huko
ni
kupunguziwa
kuliko
tokana
na
Mola
wenu
Mlezi,
na
ni
rehema.
Na
atakaye
vuka
mipaka
baada
ya
haya,
basi
yeye
atapata
adhabu
chungu.
]
[ يا أيها الذين آمنوا كتب عليكم القصاص في القتلى الحر بالحر والعبد بالعبد والأنثى بالأنثى فمن عفي له من أخيه شيء فاتباع بالمعروف وأداء إليه بإحسان ذلك تخفيف من ربكم ورحمة فمن اعتدى بعد ذلك فله عذاب أليم ] — البقرة 178