Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,025 ثانية)
#1
البقرة
:267
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Toeni
katika
vile
vizuri
mlivyo
vichuma,
na
katika
vile
tulivyo
kutoleeni
katika
ardhi.
Wala
msikusudie
kutoa
vilivyo
vibaya,
hali
nyinyi
wenyewe
msinge
vipokea
ila
ingekuwa
mmefumba
macho.
Na
jueni
kwamba
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kujitosha
na
Msifiwa.
]
[ يا أيها الذين آمنوا أنفقوا من طيبات ما كسبتم ومما أخرجنا لكم من الأرض ولا تيمموا الخبيث منه تنفقون ولستم بآخذيه إلا أن تغمضوا فيه واعلموا أن الله غني حميد ] — البقرة 267