Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,033 ثانية)
#1
فاطر
:37
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
humo
watapiga
makelele:
Mola
wetu
Mlezi!
Tutoe
tufanye
mema
sio
yale
tuliyo
kuwa
tukiyafanya.
Kwani
hatukukupeni
umri
wa
kutosha
kukumbuka
mwenye
kukumbuka?
Na
akakujieni
Mwonyaji?
Basi
onjeni!
Kwani
walio
dhulumu
hawana
wa
kuwanusuru.
]
[ وهم يصطرخون فيها ربنا أخرجنا نعمل صالحا غير الذي كنا نعمل أولم نعمركم ما يتذكر فيه من تذكر وجاءكم النذير فذوقوا فما للظالمين من نصير ] — فاطر 37