Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,022 ثانية)
#1
الشورى
:14
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
hawakufarikiana
ila
baada
ya
kuwajia
ilimu
kwa
sababu
ya
husuda
iliyo
kuwa
baina
yao.
Na
lau
kuwa
haikwisha
tangulia
kauli
kutoka
kwa
Mola
wako
Mlezi
ya
kuakhirisha
mpaka
muda
maalumu,
basi
bila
ya
shaka
palingeli
hukumiwa
baina
yao.
Na
hakika
walio
rithishwa
Kitabu
baada
yao
wanakitilia
shaka
inayo
wahangaisha.
]
[ وما تفرقوا إلا من بعد ما جاءهم العلم بغيا بينهم ولولا كلمة سبقت من ربك إلى أجل مسمى لقضي بينهم وإن الذين أورثوا الكتاب من بعدهم لفي شك منه مريب ] — الشورى 14