Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,022 ثانية)
#1
آل عمران
:13
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
ilikuwa
ni
Ishara
kwenu
katika
yale
majeshi
mawili
yalipo
pambana.
Jeshi
moja
likipigana
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu,
na
jingine
kafiri
likiwaona
zaidi
kuliko
wao
mara
mbili,
kwa
kuona
kwa
macho.
Na
Mwenyezi
Mungu
humuunga
mkono
amtakaye
kwa
nusura
yake.
Hakika
katika
hayo
yapo
mazingatio
kwa
wenye
macho.
]
[ قد كان لكم آية في فئتين التقتا فئة تقاتل في سبيل الله وأخرى كافرة يرونهم مثليهم رأي العين والله يؤيد بنصره من يشاء إن في ذلك لعبرة لأولي الأبصار ] — آل عمران 13