Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,023 ثانية)
#1
يس
:47
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wanapo
ambiwa:
Toeni
katika
aliyo
kupeni
Mwenyezi
Mungu,
walio
kufuru
huwaambia
walio
amini:
Je!
Tuwalishe
ambao
Mwenyezi
Mungu
angependa
angeli
walisha
mwenyewe?
Nyinyi
hammo
ila
katika
upotofu
ulio
dhaahiri.
]
[ وإذا قيل لهم أنفقوا مما رزقكم الله قال الذين كفروا للذين آمنوا أنطعم من لو يشاء الله أطعمه إن أنتم إلا في ضلال مبين ] — يس 47