Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,023 ثانية)
#1
البقرة
:20
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Unakaribia
umeme
kunyakua
macho
yao.
Kila
ukiwatolea
mwangaza
huenda,
na
unapo
wafanyia
giza
husimama.
Na
angelitaka
Mwenyezi
Mungu
angeliondoa
kusikia
kwao
na
kuona
kwao.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Muweza
wa
kila
kitu.
]
[ يكاد البرق يخطف أبصارهم كلما أضاء لهم مشوا فيه وإذا أظلم عليهم قاموا ولو شاء الله لذهب بسمعهم وأبصارهم إن الله على كل شيء قدير ] — البقرة 20