Filter Results
Results: ( 1 to 1 of 1 )
(0.044 seconds)
#1
An-Nisa'
:100
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mwenye
kuhama
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
atapata
pengi
duniani
pa
kukimbilia,
na
atapata
wasaa.
Na
anaye
toka
nyumbani
kwake
kuhama
kwa
ajili
ya
Mwenyezi
Mungu
na
Mtume
wake,
kisha
yakamfika
mauti
njiani
basi
umethibiti
ujira
wake
kwa
Mwenyezi
Mungu.
Na
Mwenyezi
Mungu
ndiye
Mwenye
maghfira
na
Mwenye
kurehemu.
]
[ ومن يهاجر في سبيل الله يجد في الأرض مراغما كثيرا وسعة ومن يخرج من بيته مهاجرا إلى الله ورسوله ثم يدركه الموت فقد وقع أجره على الله وكان الله غفورا رحيما ] — النساء 100