Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,094 segundos)
#1
Al-Hajj
:73
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
watu!
Unapigwa
mfano,
basi
usikilizeni.
Hakika
wale
mnao
waomba
badala
ya
Mwenyezi
Mungu,
hawatoumba
hata
nzi
ijapo
kuwa
watajumuika
kwa
hilo.
Na
nzi
akiwapokonya
kitu
hawawezi
kukipata
kwake.
Amedhoofika
kweli
huyo
mwenye
kutaka
na
mwenye
kutakiwa.
]
[ يا أيها الناس ضرب مثل فاستمعوا له إن الذين تدعون من دون الله لن يخلقوا ذبابا ولو اجتمعوا له وإن يسلبهم الذباب شيئا لا يستنقذوه منه ضعف الطالب والمطلوب ] — الحج 73