Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,030 segundos)
#1
Al-Mujadila
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Mnapo
sema
siri
na
Mtume,
basi
tangulizeni
sadaka
kabla
ya
kusemezana
kwenu.
Hiyo
ni
kheri
kwenu
na
usafi
zaidi.
Na
ikiwa
hamkupata
cha
kutoa,
basi
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe,
Mwenye
kurehemu.
]
[ يا أيها الذين آمنوا إذا ناجيتم الرسول فقدموا بين يدي نجواكم صدقة ذلك خير لكم وأطهر فإن لم تجدوا فإن الله غفور رحيم ] — المجادلة 12