Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.061 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al Imran
:167
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
ili
awapambanue
walio
kuwa
wanaafiki,
wakaambiwa:
Njooni
mpigane
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
au
lindeni.
Wakasema:
Tungeli
jua
kuna
kupigana
bila
ya
shaka
tungeli
kufuateni.
Wao
siku
ile
walikuwa
karibu
na
ukafiri
kuliko
Imani.
Wanasema
kwa
midomo
yao
yasiyo
kuwamo
nyoyoni
mwao.
Na
Mwenyezi
Mungu
anajua
kabisa
wanayo
yaficha.
]
[ وليعلم الذين نافقوا وقيل لهم تعالوا قاتلوا في سبيل الله أو ادفعوا قالوا لو نعلم قتالا لاتبعناكم هم للكفر يومئذ أقرب منهم للإيمان يقولون بأفواههم ما ليس في قلوبهم والله أعلم بما يكتمون ] — آل عمران 167