Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.064 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:273
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Nawapewe
mafakiri
walio
zuilika
katika
njia
za
Mwenyezi
Mungu,
wasio
weza
kusafiri
katika
nchi
kutafuta
riziki.
Asiye
wajua
hali
zao
huwadhania
kuwa
ni
matajiri
kwa
sababu
ya
kujizuia
kwao.
Utawatambua
kwa
alama
zao;
hawang'ang'analii
watu
kwa
kuwaomba.
Na
kheri
yoyote
mnayo
toa,
basi
kwa
yakini
Mwenyezi
Mungu
anaijua.
]
[ للفقراء الذين أحصروا في سبيل الله لا يستطيعون ضربا في الأرض يحسبهم الجاهل أغنياء من التعفف تعرفهم بسيماهم لا يسألون الناس إلحافا وما تنفقوا من خير فإن الله به عليم ] — البقرة 273