Filter Results
ئەنجام: ( 1 بۆ 1 ليرەوە 1 )
(0.046 دووةم)
#1
الأحزاب
:50
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ewe
Nabii!
Tumekuhalalishia
wake
zako
ulio
wapa
mahari
yao,
na
ulio
wamiliki
kwa
mkono
wako
wa
kulia
katika
alio
kupa
Mwenyezi
Mungu,
na
mabinti
ami
zako,
na
mabinti
wa
shangazi
zako,
na
mabinti
wa
wajomba
zako,
na
mabinti
wa
dada
za
mama
yako
walio
hama
pamoja
nawe;
na
mwanamke
Muumini
akijitoa
mwenyewe
kwa
Nabii,
kama
mwenyewe
Nabii
akitaka
kumwoa.
Ni
halali
kwako
wewe
tu,
si
kwa
Waumini
wengine.
Sisi
tunajua
tuliyo
wafaridhia
wao
katika
wake
zao
na
wanawake
ilio
wamiliki
mikono
yao
ya
kulia.
Ili
isiwe
dhiki
kwao.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe,
Mwenye
kurehemu.
]
[ يا أيها النبي إنا أحللنا لك أزواجك اللاتي آتيت أجورهن وما ملكت يمينك مما أفاء الله عليك وبنات عمك وبنات عماتك وبنات خالك وبنات خالاتك اللاتي هاجرن معك وامرأة مؤمنة إن وهبت نفسها للنبي إن أراد النبي أن يستنكحها خالصة لك من دون المؤمنين قد علمنا ما فرضنا عليهم في أزواجهم وما ملكت أيمانهم لكيلا يكون عليك حرج وكان الله غفورا رحيما ] — الأحزاب 50