Filter Results
結果: ( 1 に 4 の 4 )
(0.053 秒)
#1
Al-Ahqaf
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kabla
yake
kilikuwapo
Kitabu
cha
Musa,
kuwa
chenye
uwongozi
na
rehema.
Na
hichi
ni
Kitabu
cha
kusadikisha
na
kilicho
kuja
kwa
lugha
ya
Kiarabu,
ili
kiwaonye
walio
dhulumu,
na
kiwe
ni
bishara
kwa
watendao
mema.
]
[ ومن قبله كتاب موسى إماما ورحمة وهذا كتاب مصدق لسانا عربيا لينذر الذين ظلموا وبشرى للمحسنين ] — الأحقاف 12
#2
Ar-Ra'd
:37
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#3
Fussilat
:44
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
lau
tungeli
ifanya
Qur'ani
kwa
lugha
ya
kigeni
wangeli
sema:
Kwanini
Aya
zake
haziku
pambanuliwa?
Yawaje
lugha
ya
kigeni
na
Mtume
Mwaarabu?
Sema:
Hii
Qur'ani
ni
uwongofu
na
poza
kwa
wenye
kuamini.
Na
wasio
amini
umo
uziwi
katika
masikio
yao,
nayo
kwao
imezibwa
hawaioni.
Hao
wanaitwa
nao
wako
pahala
mbali.
]
[ ولو جعلناه قرآنا أعجميا لقالوا لولا فصلت آياته أأعجمي وعربي قل هو للذين آمنوا هدى وشفاء والذين لا يؤمنون في آذانهم وقر وهو عليهم عمى أولئك ينادون من مكان بعيد ] — فصلت 44
#4
An-Nahl
:103
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani