Filter Results
Hasil: ( 1 Ke 1 Dari 1 )
(0,047 Kedua)
#1
Yunus
:24
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
mfano
wa
maisha
ya
dunia
ni
kama
maji
tuliyo
yateremsha
kutoka
mbinguni,
kisha
yakachanganyika
na
mimea
ya
ardhi
wanayo
ila
watu
na
wanyama.
Mpaka
ardhi
ilipo
kamilika
uzuri
wake,
na
ikapambika,
na
wenyewe
wakadhani
wamesha
iweza,
iliifikia
amri
yetu
usiku
au
mchana,
tukaifanya
kama
iliyo
fyekwa
-
kama
kwamba
haikuwapo
jana.
Namna
hivi
tunazipambanua
Ishara
zetu
kwa
watu
wanao
fikiri.
]
[ إنما مثل الحياة الدنيا كماء أنزلناه من السماء فاختلط به نبات الأرض مما يأكل الناس والأنعام حتى إذا أخذت الأرض زخرفها وازينت وظن أهلها أنهم قادرون عليها أتاها أمرنا ليلا أو نهارا فجعلناها حصيدا كأن لم تغن بالأمس كذلك نفصل الآيات لقوم يتفكرون ] — يونس 24