Filter Results
النتائج: ( 1 الى 1 من 1 )
(0,036 ثانية)
#1
الحديد
:14
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Watawaita
wawaambie:
Kwani
vile
hatukuwa
pamoja
nanyi?
Watawaambia:
Ndiyo,
lakini
mlijifitini
wenyewe,
na
mkasitasita,
na
mkatia
shaka,
na
matamanio
ya
nafsi
zenu
yakakudanganyeni.
mpaka
ilipo
kuja
amri
ya
Mwenyezi
Mungu,
na
mdanganyifu
akakudanganyeni
msimfuate
Mwenyezi
Mungu.
]
[ ينادونهم ألم نكن معكم قالوا بلى ولكنكم فتنتم أنفسكم وتربصتم وارتبتم وغرتكم الأماني حتى جاء أمر الله وغركم بالله الغرور ] — الحديد 14